Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Anataka amwongezee tajiri utajiriUmeona eeeh!!! Mi nakwenda kama nilivyo, na nikiondoka naomba nauli
Anataka amwongezee tajiri utajiriUmeona eeeh!!! Mi nakwenda kama nilivyo, na nikiondoka naomba nauli
Kulipa fadhilaKubeba zawadi?
BoxerHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Ntatumia akili zako 😎😁😁 Huna akili
Ni kweli mimi ni mtoto wa 2010Wewe utakuwa kijana mdogo, kwa sisi watu wazima haya unayosema ni mambo ya ajabu kidogo
Suala tu la kumkumbuka mtu na kufunga safari kwenda kwake, tena si kwamba unakwenda kumlilia shida bali kumsalimia tu, tayari huo ni moyo wa upendo ambao kwasasa watu wengi hawawaz habari hizo. Ni kitu cha kuthamini kabisa kwa mtu mwenye akili timamuMtu ambae hujafika kwake kwa miaka zaidi ya mitano?
fanya kwa uwezo wako mkuuInaweza ikawa sio standard yake. Unampa saa ya Shs 50k wakati anavaa ya shs 2.0m, unafikiri atavaa yako?
Kutafuta attention tu na validation, kwamba uonekane na wewe ni somebody.Anataka amwongezee tajiri utajiri
Huwa ni ngumu kwani zawadi iendane na hadhi yake!!Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Beba dumu la maziwa mgando.
Mkuu Asante kwa mawazoInategemea na budget yako.
Ila kuna decoration nzuri mfano za saa au picha za ukutani. Kama ni issue ya mavazi, nunua vitu ambavyo sio rahisi mtu kununua mara kwa mara mfano tai kama wa kiume, kama wa kike, kuna ile mitandio ya kichwani au zile banio modern
Au kama sio mbali na unajua maeneo ya nyumbani kwake. Kama anapenda garden unaweza mchukulia mche wa ua au mti mzuri
Kiufupi Kama sio watu wa kuonana mara kwa mara nunua kitu ambacho ni visible na cha muda mrefu kama hivyo vichache nilivyotaja ambavyo ni affordable na vinatunza kumbukumbu nzuri.