Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

Upupu, ila huu hauwashi sana, una menya zile mbegu zake ndio unapika, ila yana sumu, ko unaweza chemsha hata siku 2, huku ukimwagisha maji. Unahakikisha hadi maji meusi yamekata, maji ya kahawia yamekata, yabaki meupeee, ndio yameiva na sumu imetoka.
😁😁 Daah...kuna ulazima wa kuyala?
 
😁😁 Daah...kuna ulazima wa kuyala?
Sio lazima, ila kwetu tumeshazoea na yana bei wanaouza, kikombe buku, 😂😂😂

Sema mie ndio mkali wa hiyo kazi, nikiamua kufululiza ni bandika bandua.
Matamu sana, unaweza lia ugali, au wali, au yenyewe tu kwa kachumbali na chachandu.
😂😂😂
 
😁😁 Hicho sio chakula mnalazimisha tu. Mbaya zaidi hayo mambo mnafanya kwenye moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini kwenye neema ya vyakula. Mnatuangusha 🤣🤣🤣
 
Haya hapa mangatungu, mahi @Khantwe
1790932221296.jpg
1790932254892.jpg
 
Kumbe ni ndugu!! Kidogo niseme "ile kitu namesa mwensake".
 
Back
Top Bottom