hapo inaonesha wewe unatokea kijijini kwa kuwa huyo ndugu yako hamuonani mara kwa mara ni hadi upange safari pengine mara moja kwa mwaka au miaka. Beba hicho unacholima.....mazao, wanyama nkHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
lakini pia unaweza tu kumpa taarifa na usibebe chochote.