Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa.
Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako.
Angalia video.
Imeandaliwa na Aquila Arttoneys.