Vyombo vya Ulinzi na Usalama havina uwezo kukanusha kama sio mali ya CCM

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
 
kama wangekuwa na uwezo huo wangewatetea wananchi walivokuwa wanauwawa 29 October 2025...hao ni kweli mali ya mbogamboga
 
Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
Iwapo wanao wajitokeze na wakanuneila na keshobaada ya kanusho tuokote jalalani waliotupwa🤭
 
JWTZ nao ni CCM
Nchi imechezewa mno na sisiemu hii.

Tumelaaniwa.
 
Hatari na ni dharau kwa vyombo vya Dola.
Vyombo vya Dola vinatumika sana kisiasa ndyo maana dharau zinakuwa nyingi

Waziri akimuka ni matamko kwa IGP
CCM matamko ,nchi imegeuka kuwa soko
 
Back
Top Bottom