Arajiga ndio ana uwezo wa kuifunga Simba ila Yanga kama yanga hana uwezo

Hapo VIP!

Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Arajiga 1-0 Simba ndiyo hivyo tena na hakuna la kumfanya.
 
Mmeshasahau kuwa TFF iliwahi kuwaletea waamuzi wa kimataifa kutoka Misri ili kuondoa malalamiko yenu, lakini bado mkafungwa mabao 2-0 Hii inathibitisha wazi kuwa shida haijawahi kuwa waamuzi au "kila mwamuzi ni wa Yanga."?

TFF wamegundua kuwa kutafuta waamuzi kutoka nje ni kupoteza muda na rasilimali. Hata akija Pierluigi Collina kusimamia mchezo, matokeo uwanjani yatabaki yale yale—kufungwa kupo palepale kwa sababu mpira unachezwa uwanjani na si kwenye filimbi ya refa.
Ndiyo maana TFF wameona hakuna haja ya kuendelea na uchezeshaji wa gharama usio na tija. Marefa wa hapa hapa nyumbani wanatosha kabisa, maana matokeo ya mpira huamuliwa na kiwango cha timu na maandalizi, wala si uraia wa mwamuzi.
 
Wamisr walikuja, kila wakiona mpira unakuta yanga inamiliki, mwishowe wakamaliza mchezo dk 3 kabla ili kuinusuru simba...wakaleta mwingne wakatangulia bao mbili dk ya tisa, mara 2 kwa 2 dk ya tisin..

Au juzi arajiga ndye alimshka mabega kipa akashnwa kukamata mpira wa albert likawa goal?
 
Walichecheza mpaka dakika ya 80 hawana on target hata moja
Sijui arajiga ndio alikua anawazuia
 
Hapo VIP!

Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Upo sawa Arajiga ndo anayetufunga Wala siyo yanga hakuna marefa wengine wa kuchezesha katika ligi zaidi ya yeye? Tff ni wahumi
 
Mmeshasahau kuwa TFF iliwahi kuwaletea waamuzi wa kimataifa kutoka Misri ili kuondoa malalamiko yenu, lakini bado mkafungwa mabao 2-0 Hii inathibitisha wazi kuwa shida haijawahi kuwa waamuzi au "kila mwamuzi ni wa Yanga."?

TFF wamegundua kuwa kutafuta waamuzi kutoka nje ni kupoteza muda na rasilimali. Hata akija Pierluigi Collina kusimamia mchezo, matokeo uwanjani yatabaki yale yale—kufungwa kupo palepale kwa sababu mpira unachezwa uwanjani na si kwenye filimbi ya refa.
Ndiyo maana TFF wameona hakuna haja ya kuendelea na uchezeshaji wa gharama usio na tija. Marefa wa hapa hapa nyumbani wanatosha kabisa, maana matokeo ya mpira huamuliwa na kiwango cha timu na maandalizi, wala si uraia wa mwamuzi.
Misri wenyewe wanaagiza waamuzi nje kwa mechi za dabi, kanuni zilibadilishwa ili waamuzi toka nje wachezeshe ligi
 
Tunafanyaje sasa? Ni ngumu sana marefa wa kibongo kuwatenganisha na usimba na uyanga maana ndio imekuwa kama dini.
 
Mashabiki wa simba ni matahira 😜😅
 
Hapo VIP!

Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Mpira mchezo wa wazi sana, Arajiga ni kichaka cha kuficha mapungufu.

Wamekuja waamuzi mara mbili kutoka nje then ikawaje, ukiupenda na kuujua mpira itakusaidia kuielewa timu yako.
 
Namna gani wewe?

Mmisiri na mkenya walitoka kariakoo?
 
Mmeshasahau kuwa TFF iliwahi kuwaletea waamuzi wa kimataifa kutoka Misri ili kuondoa malalamiko yenu, lakini bado mkafungwa mabao 2-0 Hii inathibitisha wazi kuwa shida haijawahi kuwa waamuzi au "kila mwamuzi ni wa Yanga."?

TFF wamegundua kuwa kutafuta waamuzi kutoka nje ni kupoteza muda na rasilimali. Hata akija Pierluigi Collina kusimamia mchezo, matokeo uwanjani yatabaki yale yale—kufungwa kupo palepale kwa sababu mpira unachezwa uwanjani na si kwenye filimbi ya refa.
Ndiyo maana TFF wameona hakuna haja ya kuendelea na uchezeshaji wa gharama usio na tija. Marefa wa hapa hapa nyumbani wanatosha kabisa, maana matokeo ya mpira huamuliwa na kiwango cha timu na maandalizi, wala si uraia wa mwamuzi.
Tunaongalia majority vs minority outcomes shida mashabiki ya Yanga yanaakisi historia ya Timu yao Timu ilianzishwa na wajinga wengi Hohehahe Makuli nk
 
Hapo VIP!

Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
msimpe presha refa ili afanye mnavyotaka nyinyi (kubebwa)
 
Mpira mchezo wa wazi sana, Arajiga ni kichaka cha kuficha mapungufu.

Wamekuja waamuzi mara mbili kutoka nje then ikawaje, ukiupenda na kuujua mpira itakusaidia kuielewa timu yako.
Acheni janja janja zenu hapa, ukweli usemwe Arajiga anaizamisha Simba kila uchwao, iko wazi kabisaa.
 
Tunaongalia majority vs minority outcomes shida mashabiki ya Yanga yanaakisi historia ya Timu yao Timu ilianzishwa na wajinga wengi Hohehahe Makuli nk
Leo mkishinda, mtamsifia refa; mkifungwa, mtamlaumu refa, kifupi hamjiamini mnatafuta chaka la lawama. Timu ikifanya vibaya, lawama zote mnamtwisha Mangungu, lakini timu ikifanya vizuri, Mangungu hamumkumbuki hata kidogo.
Sasa nyie ni mashabiki wa aina gani? Kifupi, mashabiki wa Simba hamueleweki kabisa! Mnataka lawama zigawiwe kwa wengine timu inapofanya vibaya, lakini mafanikio yakija, mnasahau kabisa kuwapa pongezi wale mliokuwa mnawalaumu.
 
Back
Top Bottom