cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hiyo siyo sababu, sasa kwanini wasiendelee kuwaleta hawa tunaowataka ili km tunafungwa tuone uhalali wake.Hao mliowataka nyinyi walivyokuja mlifanywa nini?
Hiyo siyo sababu, sasa kwanini wasiendelee kuwaleta hawa tunaowataka ili km tunafungwa tuone uhalali wake.Hao mliowataka nyinyi walivyokuja mlifanywa nini?
Mpo kama sigara kali hamueleweki,mechi ya mbili mbili mliwalalamikia waamuzi wa nje.Hiyo siyo sababu, sasa kwanini wasiendelee kuwaleta hawa tunaowataka ili km tunafungwa tuone uhalali wake.
Km kuna makosa tusilalamike? Mbona nyie mlilalamika ile match yenu na Mamelodi mkadai ni Bao.Mpo kama sigara kali hamueleweki,mechi ya mbili mbili mliwalalamikia waamuzi wa nje.
Lini wewe Arajiga alikuonea? Sometimes mpinzani wako akiwa bora hata akichezesha Mangungu unapigwa.Km kuna makosa tusilalamike? Mbona nyie mlilalamika ile match yenu na Mamelodi mkadai ni Bao.
Hukumbuki eeeh?
Arajiga wala hata haina haja xa kumzungumzia, wee sema tu kwa kuwa yuko upande wenu.Lini wewe Arajiga alikuonea? Sometimes mpinzani wako akiwa bora hata akichezesha Mangungu unapigwa.
Acheni ujinga. Yanga wameshawahi kuwafunga mechi iliyochezeshwa na waamuzi wa nje. Mnatafuta kisingizio.Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Ile penalty ya muungano pale Zanzibar iliyochezeshwa na mkenya ingekuwa Aragija asingewapa Simba...kumbuka golibla halali LA selemani Mwalimu,Simba alinyimwa bao LA halaliAcheni ujinga. Yanga wameshawahi kuwafunga mechi iliyochezeshwa na waamuzi wa nje. Mnatafuta kisingizio.
Naona Arajiga kashatupia huko.Ile penalty ya muungano pale Zanzibar iliyochezeshwa na mkenya ingekuwa Aragija asingewapa Simba...kumbuka golibla halali LA selemani Mwalimu,Simba alinyimwa bao LA halali
Kwani hata walipokuja marefa wa nje Simba alipata matokeo gani ya tofauti?Hapo VIP!