Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
4,177
Reaction score
4,887
Niende katika hoja Moja Kwa Moja

Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata
Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea

Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata kuomba hicho cheti na kulipia hiyo elfu 20; wanayoitaka Ili upate hizo namba uendelee na kuomba leseni lakini hata ukizipata hizo namba ukiingiza bado mfumo wa Tausi Porto unagoma

Nilichogundua hiyo verification code unayopewa na Basata inaanza na herufi 3 Yani BST alafu ukiingia katika mfumo wa Tausi unatakiwa uingize verification code yenye herufi 4 maana yake ni kwamba hapa Kuna shida Kwa hawa IT wa Basata na Tausi Porto

Sasa hili linaleta usumbufu sana Kwa wafanya biashara na watumishi wa manispaa wanaotumia hu mwanya kuchukua pesa Kwa wafanya biashara Ili uweze kupata leseni Kwa njia mbadala

Basata na manispaa tatueni hi changamoto
 
Nenda pale feri ofisini kwao kitengo cha hayo mambo jengo la kushoto, ukikomaa mwenyewe utakesha.

Bongo ukitaka mambo yako yanyooke achana na uanaharakati kwenye biashara.
 
Kinachotakiwa warekebishe mifumo Yao sio kama Kila mtu anao huo muda wa kuenda huko feri
 
Wewe komaza fuvu, mwenzio Mwisho Mwampamba huyo.
Screenshot_20261013_111245.jpg
 
Back
Top Bottom