and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
😅😅😅😅Mifumo inasomana ndiyo maana husikii hayo mambo.
mifumo ufisadi. sio?Mifumo inasomana ndiyo maana husikii hayo mambo.
WasomaliNa wahamiaji haramu habari ndiyo hazisikiki tena kwa sasa!
Mifumo inasomana ndiyo maana husikii hayo mambo.
Hii ngoma ingetia nanga Bongo hali ingekuwa ni tete.
Hii ngoma ingetia nanga Bongo hali ingekuwa ni tete.
ulinzi na usalama maeneo hayo umeimarishwa sana duniani kote 🐒Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?