Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Oooh nawapataje hao
Tatizo kuna watu tunawapa michongo kumbe ni wasiojulikana wazee wa vitengo, kuna kenge mmoja humu alinifanya nikaishi maisha magumu sana alikuja pm nikampokea nikampa ABC mwisho wa siku nikajikuta mikononi mwa majangiri ya serikali polisi sijakaa sawa watu wa migration wana mimi hawa walinisumbua sana ya kuwa mimi si m Tanzania mbaya zaidi nilikuwa nahojiwa na vitoto vya 85 nilivichachafya vikatulia mpaka leo
 
Hakuna kipindi ambacho tanzania kuna biashara ya madawa ya kulevya aina ya heroin,cocaine,shisha nk kama kipindi hichi cha utawala wa mama. Kinachosababisha kuwa tusisikie habari hizo ni kuwa wanaokamatwa na madawa hayo ni viongozi wenye vyeo vikubwa serikalini ambao hata mahakama na vyombo vya dola vinawaogopa kuwaadabisha.Kama unabisha tembelea viwanja vya ndege ujionee vifurushi lukuki vya madawa hayo yalivyotapakaa kila kona za uwanja.
Mbona kaka yetu wa dragi controo na enfosimenti anasema kadhibiti mno hayo kwa mafanikio makubwa sana?
 
Tatizo kuna watu tunawapa michongo kumbe ni wasiojulikana wazee wa vitengo, kuna kenge mmoja humu alinifanya nikaishi maisha magumu sana alikuja pm nikampokea nikampa ABC mwisho wa siku nikajikuta mikononi mwa majangiri ya serikali polisi sijakaa sawa watu wa migration wana mimi hawa walinisumbua sana ya kuwa mimi si m Tanzania mbaya zaidi nilikuwa nahojiwa na vitoto vya 85 nilivichachafya vikatulia mpaka leo
Pole mzee niamini mimi
mi ni mtu mzuri sana sitakuangusha kabisa
 
Nawashangaa sn watu wanaobeza airport zetu especially JNIA AIRPORT,,huo uwanja nuksi sana tu..
Ukijichanganya umekwisha.
jamaa wapo makini sn ..

Ukweli ni kwamba kwa sasa watu wamebaadilisha njia...
Hakuna anayependa kufungwa maisha..
 
Aje tumuonyeshe machimbo ya bangi mirungi na unga kama ana nia ya kuthibiti madawa
Kwahiyo hata report yao nadhani ipo page ya kwanza ni magumashi sasa, maana muda si mrefu alikuwa nyuma mic anatoa tathimini namna mamlaka ilivyotokomeza kwa kiasi kikubwa hadi kusema hata sober house sasa zinaanza kupungua.
 
Back
Top Bottom