Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

N
Mkuu sipo hapa kufurahisha jamii ila ukweli huku mtaani matumizi ya bangi mirungi na unga hali ni mbaya sana
Natambua hilo ndiyo maana nikasema sasa wanafanya magumashi kitu ambacho siyo poa kwasababu athari za hizo mambo ni balaa kuna mshikaji nae alikuwa ni mike katemwa job yani yanaharibu sana life ya mtu.
 
Tatizo la nchi hii mambo yanayohitaji taaluma kuyatatua yameingiliwa na wanasiasa wanaingiza siasa kila kitu unajikuta Watendaji wa taasisi husika hawana nguvu ya maamuzi wanasiasa ndiyo wenye kuamua
 
Mmelala sana Wakuja wanapewa maeneo na serikali wanayageuza Viwanda na mashamba ya Opium na wafanyakazi ndio nyie wazawa.

Wakidhulumiana kihere here wa kupekua na kuhoji atageuzwa dekio la uchafu wa Mgeni na kufia ndani.
 
Sawa baba angu lete michongo basi 🤗
Njoo tufuge tu samaki binti yangu maisha yasonge achana na michongo mizito kuna mambo tumeyafanya ni haramu tukiwa bado na nguvu za kukimbizana na mamlaka na nchi ilikuwa gizani, leo hii tumeshakuwa nguvu za kusumbuana na mamlaka hatuna tumebaki kufanya kazi halali tu japo siyo kihivyo
 
Dooooh ushanikwepa mzee 😢
Haya bana unafuga samaki gani?
 
Back
Top Bottom