mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Kuna kanuni moja kuu ambayo drug cartel wa pale Amerika ya kati wanaishi nayo sana ADAPT OR DIE . Hii inamanisha kadri serikali zinavyojiimarisha kuzuia biashara hii ya madawa kulevya, nao drugs cartels wanatembea na kanuni ya kibayolojia ya Adapt or perish.... Mfano serikali ikisema inaongeza vikosi vya kupambana na madawa ya kulevya kwenye kila Kona nao drugs cartels wana adapt kwa kuwahonga haohao maafisa wa serikali..
NB:wanasiasa wa Mexico, Colombia, Venezuela et al wana fund kampeni zao kwa pesa za unga
NB:wanasiasa wa Mexico, Colombia, Venezuela et al wana fund kampeni zao kwa pesa za unga