Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Miaka ile muuzaji ndani ya gari anatembea na mfuko
Hana wasi kama ana leseni vile 😄
Ukipita manyanya pale unawakuta wauza kete wamewapanga foleni mateja kibao mtu hana wasi
Anaingia asubuhi anaingia saa tano na saa tisa
Miaka ya hivi karibuni peupe
Ila kwa sheria iliyotungwa kali sana ukichomoka lzm utafute shuguli nyingine tu 😄

Ova
Kwa sasa watu wanaogopana sana, informers kibao mjini,ndy maana wanafanya biashara kwa siri kibwa sn..
yaani hii sheria za madawa wangewekewa mafisadi na wanaohujumu inchi ,,wanaokula mali ya umma,,
Hakika Tanzania ingenyooka sn..
Siku zote nasema kwamba wenzetu wazungu kesi za madawa ni kesi ya kipuuzi,,ila ufisadi human trafficking ni kesi kubwa sn kwao. wanakufunga Miaka mingi sna,,
ndy maana wenzetu wanaendelea....
.Hivi mtu afungwe maisha kisa mirungi au bangi inaathiri vipi inchi?
Wafungwe maisha mafisadi na wanaohujumu inchi...
 
Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
Ukiona kimya ujue nchi tayari imeshakuwa Banana Republic, kila sehemu rushwa, wizi, mauaji nk. Walioko kwenye fursa awamu hii wengi ni mabilionea sasa hivi.

Rais kapoteza control kabisa, anapangiwa na kuendeshwa na Gangstars kama remote control, urais wake umegawanyika vipande vingi.
She is officially a useful idiot for drug cartels.
 
Tena anakukamata na kidhibiti mzee
Miezi 2 nyuma kuna mbongo
Mmj alikuwa anaishi South
Na alitengeneza hela sana
Mijumba dar ya kutosha,walimkamatia mbweni kwa pesa aliyokuwa nayo yule lazima aliwapa offer wazee wakakataa 😄
Ila ingekuwa police ah wangechkua tu wakamuachia ila dcea wakija 😄 hawafai

Ova
Na show kama hizo mpaka Boss wao Mr Lyimo anakuwa Front line hapo hakuna kupona.
 
Na show kama hizo mpaka Boss wao Mr Lyimo anakuwa Front line hapo hakuna kupona.
Lymo noma najuwa kuna watu wanamuona mkuda
😄 lkn yuko kazini
Kama nzowa vile alivyokuwa
Nzowa alinyooka kama ruler
Alipostaafu wazee wa dili walishangilia

Ova
 
Back
Top Bottom