Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
DCEA wanajitahidi sana fanya usiingie 18 za Bwana Lyimo
Biashara inafanyika kifichoWale miamba kuwajua hata kama umezaliwa eneo hilo huwezi wajua upande wa pili ni watu wema,kujitoa kwa jamii na biashara vivuli. Ukiwa mtu wa mishe na kujichanganya hata ukiwa mgeni lazima utawajua mapema
SawaRipoti ya kuhadaa umma ionekana kuna udhibiti unafanyika.
Tena anakukamata na kidhibiti mzeeDCEA wanajitahidi sana fanya usiingie 18 za Bwana Lyimo
Noma sanaMifumo inasomana ndiyo maana husikii hayo mambo.
Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
Wapo wanabishi wenye roho za chuma wanapenya hapo hapo JNIA..Unga wa tumbo ulishapitwa wanaofanya pia ni wachache sana
Na sheria hyo ya kifungo cha maisha tena balaa
Wauzaji wengi wamekimbilia sidadi wanaonganisha juu kwa juu
Ova
Kabisa..ila huko kwengineko wameminya hatariSasa hivi labda ufisadi ndiyo wameachia tobo kwa watu kujichotea tu.
Rais Samia hataki viongozi wa Mike wenye kupenda sifa sifa.
Katika kipindi ambacho wauza madawa wana wakati mgumu ni sasa.
Jaribu uone ndipo utajua.
Rais Samia si tahira kama yule Mzee wa viwanda hewa.
Sasa hivi mpaka pikipiki zinaundwa hapa bongo, kuna viwanda kama upupu lakini husikii kelele
Kabisa,sasa utokee nchi yaWapo wanabishi wenye roho za chuma wanapenya hapo hapo JNIA..
ila kwa technology waliyonayo kwa sasa hapo ni risky 90%
NaamNchi Iko mikononi mwa Drug Lords unategemea nini..?
Nimeanza kuelewa sasa kwa nini wako kimya tuMzigo upo mwingi mtaani, supply ni kubwa sana. Huyu mama kawekwa na wahuni, na wahuni wamemuweka makusudi ili mianya ipatikane. Wahuni ni watu werevu.
Hata kutoka tu mkuu, tena wapo faster sn tu.Kabisa,sasa utokee nchi ya
Brazil,Ecuador, Peru lazima
Wazee wakuwepe pembeni wakufanyie massage
😄
Ova
Watu wanavutwa watu kimya kimya bila keleleNimeanza kuelewa sasa kwa nini wako kimya tu
Yah hata kutoka mtihaniHata kutoka tu mkuu, tena wapo faster sn tu.
Wana vimiminika fulani wakipitisha hata kwenye nguo ulizovaa wanakunasa...ina detect wanajuwa...
Mara 2 nishavutwa hapo wakati wa kutoka ila nilikuwa safi sina tatizo..
Tena mkubwa snYah hata kutoka mtihani
Ova
Miaka ile muuzaji ndani ya gari anatembea na mfukoTena mkubwa sn
Kama port Ethiopia hakufaiTena mkubwa sn