Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Ilala bungoni iwe center pande 4 kuzunguka hunipotezi.
Mtaani kwetu juu ya nyaya za umeme kulikua na viatu nikawa nasikia kua ukiona hivyo ujue wanauza ila sijui kama ni kweli.
Mitaa hiyo ndio kama Brazil wanaofanya huwezi wajua wanatumia biashara nyingine kama kivuli ungekuwa mtu wa mishe ungewajua mpaka sura na wanapoweka mizigo.
 
Rais Samia hataki viongozi wa Mike wenye kupenda sifa sifa.
Katika kipindi ambacho wauza madawa wana wakati mgumu ni sasa.
Jaribu uone ndipo utajua.
Rais Samia si tahira kama yule Mzee wa viwanda hewa.
Sasa hivi mpaka pikipiki zinaundwa hapa bongo, kuna viwanda kama upupu lakini husikii kelele
 
Naombeni Dili basi kama hakuna ukaguzi mkali
Utajuta.
Katika kipindi ambacho wazee wa ngada wanapitia magumu ni sasa.
Wengi wameamua kuacha wenyewe.
DCEA wakikudaka hata utoe bilion hawachukui, lazima wakufunge.
Police ndio wakigundua kuwa wewe ni drug dealer watakuwa wanakufanya 🏧, ukiishiwa wanakuchoma unafungwa
 
Back
Top Bottom