ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa.
Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume.
kamatana! shika box la mwenzio! bonyeza 99! alama jumlisha! tuondoke! haya changamka tufikie target! bila kuchoka tuondoke! mambo ni mengi muda mchache! chap chap! kamata nimekuona! nitakupandisha! tap tap the screen
Kwa sababu navyojua TikTok haikulipi kwa kuwa tu umekaa muda mrefu sana kwenye live au umefanya engagement nyingi. Ninavyoelewa, pesa kubwa inahusiana zaidi na gifts ambazo watu wanakutumiaau labda ufanye tiktok affiliate Sasa kwa mazingira yetu huku, mtu anakaa live masaa manne anapiga kelele gifts zenyewe unakuta ni chache sana.
Sasa hawa mahost wanapata nini hasa?maana kama ishu ni kusema kusaidia watu ku follow watu yaani kuwa connect bado naona sio kweli kwa sababu tiktok wana limit ya ku follow sana wanaweza kuku block hizi targets na battle zina faida gani kwa host?anayeelewa naomba anieleweshe