siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balqior

    Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

    Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani. Cha ajabu...
  2. chiembe

    Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  3. Gabeji

    Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa. Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
  4. TANESCO

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  5. Eli Cohen

    Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  6. TheForgotten Genious

    Siku hizi wanawake wamekuwa wasaliti kuzidi wanaume

    Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion? Mbaya zaidi hawakubali kabisa ukiwauliza kucheat, na wengine ni wake Za watu kabisa.
  7. Aramun

    Kwanini hakuna mpango wa maalum wa kujuza umma ikitokea kiongozi amepata maradhi?

    Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia! Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti. Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
  8. Last_Joker

    Wanandoa wa siku hizi wanapaswa kupeana Password za Simu au kila mtu na yake?

    Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
  9. and 300

    Siku hizi husikii kukamatwa magendo au bidhàa zilizo-expire

    Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya! NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
  10. Eli Cohen

    Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  11. Tlaatlaah

    Kulikoni siku hizi kuoa mpaka kwanza binti apigwe mimba?

    Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo? Hata hivyo, ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu. Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali...
  12. GENTAMYCINE

    Naomba kuuliza kwani Siku hizi tunavishana Nishani za JWTZ kwa Unguja na Pemba au ni kwa Utanzania wetu kumaanisha Umoja wetu?

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kutoka Pemba na Unguja - Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Oktoba 25, 2024 ...
  13. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Siku hizi Taasisi yenu ya 'Makumbusho' haiwezi tena Kusomesha Watumishi wake Masters na PhD's na inawataka wajisomeshe kwa Pesa zao?

    Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
  14. LIKUD

    Hii ndio sababu halisi kwanini watu wengi sana siku hizi wanaota ndoto wapo shule ya msingi au sekondari

    Wakati wewe mtanzania ukiwa unaendelea na mchakato wa kuwahamisha watoto wako kutoka kwenye shule za kiingereza ( English Mediums) na kuwarejesha kwenye shule za Kayumba, wacha nikuambie kwanini umekuwa ukiota ndoto upo shule ya msingi au sekondari unafanya mitihani etc. Wanao jiita mitume na...
  15. Wauzaji wa containers

    Kwanini siku hizi watu wanakufa mapema kuzidi miaka ya zamani

    Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa. Hospitali kuwa nyingi Madawa kuwa mengi Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana. Life expectancy Kama imeshuka. Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs. Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84. Sasa...
  16. matunduizi

    Kwanini siku hizi hakuna ugaidi wa kujitoa muhanga Middle East?

    zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani. Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east kuwaua waisrael au watu flani asiowapenda Je, Teknolojia ya kuwagundua imekua? Je wamegundua ni...
  17. LIKUD

    Kwanini wasomi (wazazi) wengi wa siku hizi hawamiliki assets?

    Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985). Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja). Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi. Lakini ninyi mmesoma hadi vyuo vikuu na mna kazi...
  18. Teko Modise

    Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

    Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!! Mungu ni mwema kila wakati!!
  19. Mjanja M1

    Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

    Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi. Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu...
  20. Hypersonic WMD

    Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
Back
Top Bottom