Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
Zamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?🤣🤣
Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake.
Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu"
Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja.
Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie...
Kwa wale wanaotafuta wachumba wa kike swala la kujua kupika au kutokujua kupika limekuwa gumu sana siku hizi.
Yaani imekuwa kama swali la kibinafsi ambalo ni vibaya kuuliza!
Watasema amesoma, mtu wa dini….. kwenye kupika jibu ni gumu sana
Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.
RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa...
Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
---------------------
Ikumbukwe:
Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana.
Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga.
Imepitwa na wakati.
Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga.
Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena...
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA.
Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si...
Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo.
Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa
Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule?
Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
Wanajukwaa habari za siku...!
Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.
Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ) , wabunge asilimia kubwa ya...
Ndugai kipindi cha Magufuli nadhani alihamia kabisa Ikulu maana hakuna shughuli alikosa na kutoa hotuba as if naye ni kiongozi wa serikali
Siku za karibuni haonekani shughuli za Ikulu, hata kabla ya boko lake la juzi kuhusu mikopo - wheter alikuwa sahihi or wrong siyo hoja hapa
Mimi nahoji tu...
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1
Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi walimpigia kura na kuhesabiwa kisha matokeo kutangazwa.
Lakini leo tume ya uchaguzi mgombea akibaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.