Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!.
Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea.
Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia.
Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu...
"Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako"
"Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa...
Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi?
Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya?
Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:
1: TP Mazembe (RDC)
2: US Monastri (TUN
3: Young Africans S.C. (TAN)
4: Real Bamako (MLI)
Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika
Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena!
Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi...
Nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo ukifanikiwa kula hata ka denda basi yule binti anaanza kukuogopa au ukifanikiwa kula tunda lake yule binti kesho yake hawezi kuku face yaani hata akikuona ana badili njia.
Kuna kipindi mkoa flani nilifanikiwa kupata kimasihara, yule binti alikuwa na aibu Sana...
Acha bollo litembe anasema coach wa Simba. Ustaadhi Juma Mgunda.
Vijana wamechuku huo msemo kwa sasa wanatembeza balls zao sana kwenyw mahusiano. Wasione kuna upenyo wanapitisha Ball. Wasione kuna uwazi wanataka ku score.
Mi nadhani kuna haja ya kujitathmini. Si kwamba kwa kuwa miguu basi...
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy.
Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo.
Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani.
Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala...
Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake
Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana!
Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅
nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa Kenya (elewa vizuri) baba mkwe anamzalisha mke wa mwanae ili ukoo usipotee😂😂
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....
Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia...
Habari za leo wanajamvi!
Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu.
Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali...
Ipo Siku mtakuja Kuwaalika hata Wemdawazimu hapo kama hamtokuwa makini.
Nimejaribu kuchunguza Wageni wanaoalikwa katika Mabunge ya Kenya Rwanda na Uganda na Kugundua Watu wanaoalikwa hapo si tu wamefanya nini ila je, wana Akili Vichwani mwao na wana Tija ya Kimaendeleo kwa Maisha ya Vizazi...
🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili sana hawezi kugusa mpira hata mara moja.”
- Mwinyi Zahera akizungumzia mlinzi wa kulia wa Yanga SC...
"A good woman is not one size, women say"
"Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua.
Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
Habari zenu wana nzengo?
Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.