Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo.
Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe.
Sheria ina Uamuzi mkubwa...
Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.
Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration.
Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio...
Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo.
Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini?
Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan.
Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku...
Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku.
Taribo alijipatia umaarufu akiwa anacheza soka, huku akiwa na style yake ya kusuka nywele na kuzipaka rangi ya kijani.
Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
Zamani ukienda kwa mganga masharti uje na mbuzi mweupe au jogoo mweusi.
Sasa hivi wamekuwa na mbinu geni.
Nimesogezewa hii habari leo Kuna huyu mganga huko Arusha anaitwa Minja. Sasa wee jiulize tu tangu lini mchaga akawa mganga.
Yani Minja anatatua wateja marynder kama masharti ya matibabu...
Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka.
Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi...
Anaandika, Robert Heriel
1. UKWELI, KUJIAMINI NA MSIMAMO VIMEPUNGUA
Ilikuwa ni Tabia ya mwanaume halisi kusema Ukweli pasipo kupindisha pindisha maneno bila kujali ataonekana vipi.
Wakati Kwa Mwanamke ni Haki yake kuongea Kwa kuangalia ataonekana vipi kwani lengo la Mwanamke ni kupendwa.
Kwa...
Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
Habari wana Jf,
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa
Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila)...
Bila discussion wakuu,
Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika...
Habari za leo wana JF?
Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa.
Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira
Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira
Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
Wakuu!
Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi.
Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki.
Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za...
Habari zenu wanaJF
Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina.
Swali langu ni kwanini wa-set...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.