siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna anayejali

    Wale watoto wa siku hizi haya mambo mnayasikia tu.

    Zamani tulikuwa tunakula kwa pamoja,hii ilisaidia kuondoa tabia ya uchoyo,ilijenga uhusiano,na ilimwondolea uvivu wa kula mtoto.Lakini wazazi wengi sasa watoto wao wanakula Kila mmoja peke yake,kwakweli wanamic hayo niliyosema.tazama video hapa na picha.
  2. Mapensho star

    Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
  3. w0rM

    Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  5. Balqior

    Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  6. GENTAMYCINE

    Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  7. Chakorii

    Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

    Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
  8. Joannah

    Hivi videvu vya siku hizi

    Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram.. Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi... Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣
  9. data

    Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

    Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana. Yani ni mayai sijui mnajimwagia.. Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa? Hivi nyie wanawake mbona hamna...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Siku hizi kila Fani na Cheo vinadharauliwa kwa sababu hii

    SIKU HIZI KILA FANI NA CHEO KINADHARAULIWA KWA SABABU HII Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli Siku hizi hata uwe Mfalme, sijui Waziri, sijui Hakimu, sijui Rais, sijui Kuhani, sijui Mwalimu, sijui Mwanasheria, sijui Mwanajeshi, sijui polisi, au hata uwe Nabii. Kote Huko Kwa kizazi hiki...
  11. F

    Siku hizi ni kawaida “kuongea mwenyewe” .

    Sio tu maisha yamekuwa magumu bali pia technolojia imewezesha watu kuonekana kama vile wanaongea wenyewe. Ukiwa unacheka mwenyewe mbele ya screen ya smartphone yako hakuna atakayekushangaa! Mtu mmoja aliniona “naongea mwenyewe “ huku nafanya gestures zote baadaye akaniuliza vp bwana imekuwaje...
  12. Mhaya

    Kwanini Ndoa siku hizi zimekuwa chache kwa Vijana?

    Ukitizama siku hizi wanaofunga Ndoa ni wazee au vijana ambao tayari washazalishana. Kwanini ni nadra sana kuona Ndoa za vijana barubaru wenye miaka 24 hadi 32 ambao hawajazaa wala hawana watoto nje. Miaka ya babu zetu tulikuwa tunaona sana Kijana akienda kuchumbia mwali, huko wote wakiwa hawana...
  13. Jokajeusi

    Mama Mzungu, Wanaume siku hizi hawajiamini Kwa sababu hawawakuti mkiwa na bikra

    Igweeh! Nataka nikujibu Kwa ufupi Sana Rafiki yangu Mama Mzungu. Wanaume hawajiamini siku hizi Kwa sababu asilimia 90% walioa Wanawake wasio na Bikra. Ni Bora ujiamini Kwa soda ambayo haijafunguliwa kuliko kujiamini Kwa kuoa Mwanamke ambaye hukumkuta Bikra. Ambacho ungetakiwa kuuliza Kwa...
  14. Equation x

    Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

    Kuna mzee mmoja nilikutana naye eneo moja la kazi miaka 12 iliyopita, na katika mazingira ya kazi tulikuwa tukiheshimiana sana, na tulikuwa tukiishi kama familia; leo tukale wapi au kunywa wapi, mara moja moja ilikuwa ni kitu cha kawaida. Baada ya muda kupita aliamua kung’atuka na kwenda...
  15. Siempre Hechos

    Kwanini wanafunzi wa shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho?

    Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho ama ni mimi sifatilii mambo? Yawezekana kwao sio muhimu kwa sababu wanavaa...
  16. Intelligent businessman

    JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

    Zime pita siku, wiki na Sasa miezi kadhaa ndugu zetu Hawa hawaonekani? 👉Je wame badilisha I'd? 👉Wazima au wagonjwa? 👉Wame amua kustaafu?
  17. Notorious thug

    Kupasiana Wanawake imekuwa kawaida siku hizi

    Ni weekend nyingine unaweza tembelea Tabata na Sinza kuifurahia weekend yako. Kuna ishu imezuka kwa baadhi ya vijana akishasex na mwanamke anamuunganishia na rafiki zake nao waweze kusex nae kunakuwa na mnyororo mrefu. Hii ishu imekuwa kama mchezo mwanamke mmoja anasex na watu kama wanne na...
  18. G

    Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

    Wasaalam. Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi. Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza. Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo. Nawasilisha.
  19. malisak

    Kwani Siku Hizi Hatuli?, Mbona Paka Kalala Jikoni?

    Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
  20. Mtu Asiyejulikana

    Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza

    Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
Back
Top Bottom