Ya kwa Mpiga Busu matata Msumbiji baada ya kutoka kupanda Dala Dala kwa Marehemu Mkoloni Wetu na hata ya sasa ya kwa Mwarabu wa Dubai ni mfano Hai wa ninachokiuliza.
Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi.
Hivi katika dunia ya...
Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi...
Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa
Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini...
Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
Na hili tatizo la Tamu nyingi Kutema limeanza hasa hasa miaka hii ya karibuni ila Tamu za miaka ya kuanzia 1999 kurudi nyuma ilikuwa ni Nadra kuzikita "zikitema' ila za kuanzia miaka ya 2000 hata kabla hujazila tayari zinakukaribisha kwa 'Kutema' Kwake.
Hebu tusaidieni tafadhali ili litatulike.
Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania.
Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
'....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.'
Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi.
Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau...
Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru.
Taarifa zaidi inafuata.
-----
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19...
Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light.
Nikianza na sisi wanaume.
Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
Madaktari Bingwa wengi wa Akili wanasisitiza na Kutusisitiza mno Wanadamu ( Watu ) kuwa pamoja na kwamba tupo busy na Maisha ila Usiku kuanzia Saa 4 hadi Saa 11 ni lazima tuwe tumelala vya Kutosha Kwa Afya ya Miili yetu na Akili pia.
Wataalam hao wakaenda mbele pia na kusema kuwa Mwanadamu...
GENTAMYCINE sijasafiri muda mrefu sasa kwenda 'Majuu' sijui nimechokwa au? Ngoja nilazimishe sasa kwenda hata China kwa Makamarada (Comrades) na wao wakinikataa nitaomba kwenda Ukraine au Urusi (kwenye Vita) japo naogopa Kufa kwani naivizia sana 2025 ili nami niweke Historia yangu na siyo...
Wadau nina siku nyingi sana nazani takribani mwaka mzima bila kuona Baraza la Mawaziri likiwa limeketi.
Wanakaa kwa siri? ama siku hizi halipo?
Embu wakae wajadili walau hari ya chakula hapa nchini na maisha magumu kwa wananchi.
Huku mtaani kama uchaguzi ukiitishwa leo CCM watatafutana...
Unakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii diploma inakuwaje?
Maana kawaida syllabus ya diploma na certificate huwa tofauti kabisa. Kuanzia...
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena...
Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.