zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mbona ujangili umeongezeka hadi tumeomba msaada Saudi Arabia watulindie misitu yetu!! hawa makomandoo huwa wanakua wapi?Tena Magereza na Wanyamapori ndiyo wapo wengi tu na utawajua pale ukiingia katika 18 zao.
Mnapenda sana kukuza vitu, kuwasifia makomandoo kwa kupiga raia wakati majangili na mafisadi yanatamba mtaani nao ni ugonjwa wa akili!!