KERO Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi

KERO Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi.

Chuo cha ushirika moshi MoCU kilichopo mkoa wa Kilimanjaro kina hali mbaya hasa maeneo ya malazi ambayo wanafunzi wanakaa, pia hata sehemu ya vyoo na bafu hazina ubora na pia ni hatarishi kwa wanafunzi hivyo wanaweza kupata maradhi ya magonjwa

Pia majengo ya chuo hicho hayakidhi vigezo vya kuwa chuo kikuu. Chuo kimechakaa sana na wala hamna maintenance yoyote inayofanyika ili kumpa mwanafunzi mazingira bora ya kujifunzia pamoja na malazi, hivyo tunaomba serikali itupe msaada.




1000586392.jpg
1000586393.jpg
1000586392.jpg
1000586395.jpg
 
Duh! Kweli harufu ni kali sana.
Nimeisikia hadi huku.

Wahusika waweke mazingira sawa.
 
Back
Top Bottom