Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Rais,
ameeleza,
Nanukuu,
"Ninawatakia kila la kheri wanafunzi wa Kidato cha Nne mnaoanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari leo katika vituo 7,067 nchi nzima.
Nina imani kuwa mmejiandaa vyema kwa ajili ya hatua hii muhimu katika safari yenu ya kielimu. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie afya njema, utulivu na uwezo wa kufanya mitihani yenu kwa umakini na kujiamini.
Aidha, ninatoa wito kwa wote wenye dhamana ya kusimamia mitihani hii kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, umakini na uadilifu, na kuhakikisha mitihani inafanyika kwa haki, amani na usalama."
Mwisho wa kunukuu.
Kumbuka,
mitihani ya kidato cha nne mwaka huu 2026, inaanza rasmi leo J3, tar. 19.10.2026 na kuhitimishwa rasmi ijiumaa ya tar.06.11.2026.🌹
Mungu Ibariki Tanzania