david daxo
New Member
- Oct 19, 2026
- 1
- 0
Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms)
Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati mwengine hata tukijibiwa hatujibiwi ipasavyo
Niseme tu hii haijakaa sawa kwakweli, watu wanaumia ikiwemo wanafunzi, wazazi pamoja na walezi