Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Kuleta takwimu bila tafsiri unataka watu wafanye nini?
Hii ripoti ilipaswa kuwekwa na majibu ya utafiti.
Hii ripoti ilipaswa kuwekwa na majibu ya utafiti.
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni Mwanza, Geita, Tabora, Dodoma na Kagera. Mikoa iliyokuwa na dropouts wachache ni Rukwa, Songwe, Arusha, Kilimanjaro na Njombe.
Mkoa
Idadi
1Mwanza
7630 2Geita
7498 3Tabora
7424 4Dodoma
6913 5Kagera
6618 6Tanga
5069 7Simiyu
4793 8Singida
4748 9Mara
4595 10Shinyanga
4048 11Lindi
3495 12Morogoro
3356 13Mtwara
3347 14Kigoma
3262 15Dar es Salaam
3154 16Ruvuma
3029 17Manyara
2688 18Katavi
2505 19Pwani
2351 20Iringa
2322 21Mbeya
2201 22Rukwa
2193 23Songwe
1935 24Arusha
1765 25Kilimanjaro
1675 26Njombe
1495
Pascal MayallaWasukuma nin shida?
ushamba kwetu ni shida kubwa!, Wasukuma ni washamba mpaka hawajui umuhimu wa elimu.
1. Hii sio ripotiKuleta takwimu bila tafsiri unataka watu wafanye nini?
Hii ripoti ilipaswa kuwekwa na majibu ya utafiti.
😂😂😂😂😂😂Bila elimu utaweza kufanya setting za simu kweli ?? Au ndo Kila kukicha Kwa fundi simu
Hebu niwekee mlio uite nyimbo ya zuchu 😂
😂😂😂😂😂Umenikumbusha nna rafkiangu mmoja alienda kuwekewa whatsapp Instagram na email kwa kutoa pesa🤦🏽♀️ Hapa kujitetea nimechoka😁
Sahivi wamevamia songea Vijijini, wamejaa wasukuma hatariii. LolNdio wapo,wanavaa kama wamasai na sime na mishanga haswaa maeneo ya dodoma huko vijijini ,kuna hao wasukuma,maeneo ya Manda,mpwayungu,huzi,mhemu,chinugulu yaani wilaya ya chamwino wamejaa wssukuma balaa
Hahahaa wasukuma mnajua kuzaliana kama panya! Vip mkuu wewe ushafyatua wangapi mpaka sasa??Kweli wasukuma tupo zaidi ya million 10.Tupo wengi kuliko wanyarwanda. Tulitakiwa tuwe na nchi yetu.