Nashauri ili kuanza kuboresha taswira yake atafutiwe ziara mikoa ya pembezoni kuliko kujificha.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani.
Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na TV zimuonyeshe. Ni ushauri tu. Hoja haipigwi mawe.
 
M

Mtoto kautaka,mtoto kautaka, si alijiona amekuwa kugombea uenyekiti wa Chadema kwa kumfunga Lissu,mtoto kautaka mtoto kautaka
 
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Back
Top Bottom