Afe tuAnaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani.
Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na TV zimuonyeshe. Ni ushauri tu. Hoja haipigwi mawe.
Hii taarifa ni nzuri sana. !!Natamani iwe kweliUsimdamganye
Kuna wahuni walishatangaza nafasi za masnepa 33 walishaandaliwa.
Tutajaza mikutano Kama kawaidaFedha za kujaza mkutano ziliishia kwenye kampeni!
Na misaada hakuna sasa.
Hata mapicha yake naombea mvua ziendelee yafutikeNikimwona siku hizi moyo wangu hujawa na hasira sijui kwann