Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
20251218_205810.jpg

Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024:

1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8
2. Mwanza -Trilioni 14.6
3. Mbeya - Trilioni 11.6
4. Morogoro -Trilioni 9.8
5. Arusha - Trilioni 9.7
6. Tanga - Trilioni 9.5
7. Geita - Trilioni 9.3
8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3
9. Ruvuma - Trilioni 7.8
10. Tabora - Trilioni 7.5.

Wale wanaoiponda Mbeya waje na takwimu. Siyo mnaringia maghorofa ya Serikali wakati mfukoni hamna hela
 
View attachment 3517224

Ndugu Mdau tujuze na fursa za kiuchumi zilizopo katika mikoa hiyo
 
View attachment 3517224

Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024:

1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8
2. Mwanza -Trilioni 14.6
3. Mbeya - Trilioni 11.6
4. Morogoro -Trilioni 9.8
5. Arusha - Trilioni 9.7
6. Tanga - Trilioni 9.5
7. Geita - Trilioni 9.3
8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3
9. Ruvuma - Trilioni 7.8
10. Tabora - Trilioni 7.5.

Wale wanaoiponda Mbeya waje na takwimu. Siyo mnaringia maghorofa ya Serikali wakati mfukoni hamna hela
Huwa mara nyingi nasema Arusha IS OVERRATED..
LOOK
 
Wanajua wanyaki ukiwasifia hata usipotengeneza barabara zao hawana shida, Sasa kuwa wa tatu mbona haina mahusiano yoyote Na muonekano wa Jiji lenyewe?
Sema wewe unatoka Mkoa gani na sisi tukutajie umaskini wenu
 
Hapo mikoa inayofanya vzr ni Arusha na Kilimanjaro! Coz inawatu wachache kuzidi hiyo mikoa mingine so GDP per capital kwenye hii mikoa miwili mambo Safi.
Hizo takwinu zako unatengeneza kichwani. Sisi tunatumia za NBS
 
ChoiceVariable katika moja na mbili, huwa unapenda sana hizi takwimu uchwara.
Tanzania bado ni nchi masikini, yenye watu masikini, iliyojaa utajiri mkubwa sana wa rasilimali lakini yenye uhaba mkubwa wa rasilimali watu(wenye uwezo mdogo kufanya mambo)
ChoiceVariable anatokea wapi hapa? Wewe ni kipofu wa akili, unabishana na takwimu za NBS
 
View attachment 3517224

Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024:

1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8
2. Mwanza -Trilioni 14.6
3. Mbeya - Trilioni 11.6
4. Morogoro -Trilioni 9.8
5. Arusha - Trilioni 9.7
6. Tanga - Trilioni 9.5
7. Geita - Trilioni 9.3
8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3
9. Ruvuma - Trilioni 7.8
10. Tabora - Trilioni 7.5.

Wale wanaoiponda Mbeya waje na takwimu. Siyo mnaringia maghorofa ya Serikali wakati mfukoni hamna hela
Nini Kimekushangaza?

1.Pamoja kuwa na MAFOGO wengi Arusha kumbe imepitwa kimapato na kina MKUDE WARUGULU?
2.Pamoja kuwa na Mamwinyi wengi Tanga imeipita KILIMANJARO?

Mwanakondoo ameshinda Tumfuate ,23:14 18-Dec-2025 MINJINGU.
 
Watakuja wapumbavu watasema Mbeya ni kushoto mwa nchi. Pumbavu.
Hao mabwege ni wengi sana. Mbeya inawalisha chakula na ni chanzo hata cha mto Ruaha unaowapa maji ya mto Rufiji lakini kutwa kuibeza
 
ChoiceVariable anatokea wapi hapa? Wewe ni kipofu wa akili, unabishana na takwimu za NBS
NBS na serikali wanajulikana kwa kupika takwimu, unatuona sisi mazuzu kama mbogamboga? Tanzania chini ya ccm kuna kitu mnafanya zaidi ya kutengeneza propaganda uchwara?
 
NBS na serikali wanajulikana kwa kupika takwimu, unatuona sisi mazuzu kama mbogamboga? Tanzania chini ya ccm kuna kitu mnafanya zaidi ya kutengeneza propaganda uchwara?
Kwa hiyo nawe umeamua kupika??
 
Back
Top Bottom