Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

Mbeya na Morogoro nimewapenda kwa kujipambania.
Mvua za kutosha zinazozalisha Chakula kwa wingi ndiyo siri ya mafanikio yenu.
Endeleeni kutunza misitu ili muendeleze heshima yenu.
 
Mbeya na Morogoro nimewapenda kwa kujipambania.
Mvua za kutosha zinazozalisha Chakula kwa wingi ndiyo siri ya mafanikio yenu.
Endeleeni kutunza misitu ili muendeleze heshima yenu.
Asante Mkuu kwa kutukubali. Mbeya ndiyo mkoa pekee hakuna omba omba mtaani kasoro vipofu tu wanoomba siku ya Ijumaa. Kila mmoja anajiweza
 
Yanayotajwa sio yalivyo ,ufanani ni tofauti.
 
Mikoa yenye waislamu wengi itakuwa ya mwisho mwisho waislamu ni makabwela sana
 
Wanajua wanyaki ukiwasifia hata usipotengeneza barabara zao hawana shida, Sasa kuwa wa tatu mbona haina mahusiano yoyote Na muonekano wa Jiji lenyewe?
Hajataja Jiji Bali Mkoa mzima wa Mbeya.

Usichokijua ni kwamba maendeleo Mkoa wa Mbeya ni Wilaya zote sio sawa na huko kwenu Arusha ambapo ukienda Longido au monduli ni kama Afghanistan ila mjini arusha mambo poa
 
Back
Top Bottom