Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote.
Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ?
Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ?
kuna mikoa imesahaulika, kuna mikoa inapendelewa zaidi kuliko uhitaji wake ? kuna usawa ?