Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa.
Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida
Ukiangalia upande wa ngoma hizi za kumwaga radhi ni tangia zamani sana, mabinti wadogo kuchezewa ngoma na kufundishwa maadili machafu ya utupu ni tokea zamani sana.
Jamii ya Pwani imekuwa hivi tangu enzi, ni basi tu mitandao ndio imefanya mshuhudie hata watoto wao wa shuleni kufanya vituko mitandaoni.