ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi.
Mikoa yenye watu walio na Mapato makubwa zaidi Tanzania zaidi ya wastani wa kitaifa ni
1.Dsm (6.77Mln)
2.Iringa (5.7Mln)
3.Kilimanjaro (5.19 Mln)
4.Mbeya (5.04 mln)
5.Njombe(4.53mln)
6.Arusha (4.27mln)
7.Ruvuma (4.15mln)
8.Mwanza (4.06mln)
9.Tanga (3.79mln)
10.Manyara (3.73mln).
Na Mikoa 10 ambayo Ina watu maskini zaidi Tanzania ni hii hapa
1.Simiyu (1.74mln)
2.Kagera (1.85mln)
3.Singida (1.98mln)
4.Dodoma (2.11mln)
5.Pwani (2.16mln)
6.Tabora (2.29 mln)
7.Kigoma (2.3mln)
8.Katavi +2.45mln)
9.Rukwa (2.87 mln)
10.Songwe (2.94mln)
My Take
Bado tuna safari ndefu sana kuondoa umaskini just imagine kwamba wastani wa kipato cha mtu Kwa mwezi ni Shilingi 295,000 lakini Kuna Mikoa hiyo maskini wanapata chini ya hapo.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuWY-VCtmt/?xtok=MXdhY21kZWlyNnRoOQ==
Credits NBS