Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

Daraja Makofia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
729
Reaction score
969
Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo.

Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe mikoa ya kusomamia badala ya Wizara zao?

Je, hii ni tafsiri kuwa kuna ombwe kubwa la uongozi wa juu? Na yule "Raiaso wa Kwenye Mawe" ni kama ametokomea kwa Malkia na anasita kurudi?

Au "Namba Moja" amefikwa na nini kiasi cha kila mtu "Kujiamulia Mambo"? Kwanini haikutoka picha hata moja ya kikao cha juzi cha kusimika Viranja wa "Wanaomiliki Kila Kitu - Hadi Wake Zetu"? Kwa niwajuavyo ni lazima tungeona selfies kutoka "KiziMjob". Shida ni nini?

Natamani niendelee kuuliza maswali ila Mwanasheria wangu ananiangalia kwa jicho la kunionya! Ndiyo, ngoja nikome kama nilivtoelekezwa.

Ila NACHOKA SANA MWENZENU!

8695.jpg

Mpaka sasa Magavana hawana kazi za kufanya maana majukumu yao yanafanywa na Mawaziri. Na hapa nasema wasilipwe mishahara kuanzia mwezi huu.

ILA KUNA MUDA NAKUA NA MAWAZO YA KIJINGA SANA!
 
View attachment 3689617

Mpaka sasa Magavana hawana kazi za kufanya maana majukumu yao yanafanywa na Mawaziri. Na hapa nasema wasilipwe mishahara kuanzia mwezi huu.

ILA KUNA MUDA NAKUA NA MAWAZO YA KIJINGA SANA!
Mkuu naungana na wewe katika hili.
Pia kama unakumbuka Waziri wa Maji ametoka Mwanza wiki mbili zilizopita kukagua hiyo miradi nina uhakika aliacha maelekezo kwa watendaji husika.

Bwana mkubwa na yy kaenda kukagua miradi hiyo hiyo, je atakuwa ameacha maekekezo pia kwa watendaji.

Tanganyika Yangu
 
Back
Top Bottom