Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ?
Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata wanawake wao kiujumla.
Upande wa bara vijana wengi wanelelewa kigumu sana na mama zao au wanawake wao na hata mahusiano yao na jamii ya kike yanakuwa ya kigumu na ki kauzu sana. Vijana wa bara wanahitaji kulainishwa na kulainika. Wanahitaji kuwa na feminine energy zaidi.