Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

Hili suala nilishalizungumzia mkuu hydroxo , Mimi ni mtu huru.
Hao waliouana jana ni wanafunzi waliomaliza kidato cha 4.

Hujazungunzia suala la maadili mabovu kwa hao watoto kujihusisha na mapenzi angali ni watoto.

Hujazungumzia kufeli kwa jamii yao na dini yao kimalezi kama ulivyozungumzia watoto wa Aboud Jumbe walioonya wanawake wafiche mabwana zao ndani.

Matukio yanayofanana yote yanahusisha wanafunzi na mahusiano tena moja ni baya zaidi lina mauaji ndani yake umeyazungumzia kwa style mbili tofauti.

Hapo ndipo ninaposema mna unafki na udini.
 
Hakuna tatizo kubwa sana kwa watoto wa rika moja kuwa wapenzi, sasa ndio nimegundua kuna kitu huelewei mimi nilipozungumzia maadili.
 
Bora wanaouana kuliko kuwa na kizazi ambacho hakieleweki 🏳️‍🌈
Uhai ni kitu cha thamani zaidi kwa mwanadamu kuliko chochote.

Ukishakuwa na jamii ambayo mtoto mmoja anaweza kumuua mtoto mwingine kisa mwanamke ambaye sio mkewe hicho ni kizazi cha hovyo kuliko hata wale wanaobinua makalio.
 
Hakuna tatizo kubwa sana kwa watoto wa rika moja kuwa wapenzi, sasa ndio nimegundua kuna kitu huelewei mimi nilipozungumzia maadili.
Wewe unazungumzia maadili gani?

Wanafunzi wa Abood Jumbe secondary wamevunja maadili gani ya mtanzania?

Je Tanzania kama nchi ina maadili yake?kama yapo ni yapi?

Kucheza uku unabinua kiuno ni kuvunja sehemu ya maadili hayo?
 
Uhai ni kitu cha thamani zaidi kwa mwanadamu kuliko chochote.

Ukishakuwa na jamii ambayo mtoto mmoja anaweza kumuua mtoto mwingine kisa mwanamke ambaye sio mkewe hicho ni kizazi cha hovyo kuliko hata wale wanaobinua makalio.
Nakuuliza swali moja, Yupi bora kati anayemuua mwenzake(wanaume) kwa kugombania mwanamke ama watoto wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja/kinyume na maumbile(wasichana)?
 
Wewe unazungumzia maadili gani?

Wanafunzi wa Abood Jumbe secondary wamevunja maadili gani ya mtanzania?

Je Tanzania kama nchi ina maadili yake?kama yapo ni yapi?

Kucheza uku unabinua kiuno ni kuvunja sehemu ya maadili hayo?
Uko sawa kijana?
Unona ni sawa watoto kucheza wanabinua makalio juu na kuonyesha madole ya kati na kusambaza hizo video mitandaoni?!
Unaona ni sawa watoto kuwaambia wanawake watu wazima wafiche mabwana zao wanakuja mtaani??!
 
Hukutakiwa hata kumjibu.
 
Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ?

Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata wanawake wao kiujumla.

Upande wa bara vijana wengi wanelelewa kigumu sana na mama zao au wanawake wao na hata mahusiano yao na jamii ya kike yanakuwa ya kigumu na ki kauzu sana. Vijana wa bara wanahitaji kulainishwa na kulainika. Wanahitaji kuwa na feminine energy zaidi.
Ndio wanaume halisi sio wala chipsi
 
Uko sawa kijana?
Unona ni sawa watoto kucheza wanabinua makalio juu na kuonyesha madole ya kati na kusambaza hizo video mitandaoni?!
Unaona ni sawa watoto kuwaambia wanawake watu wazima wafiche mabwana zao wanakuja mtaani??!
Zima moto style.

Acheni kuwabagaza watoto.

Mkitaka kuondokana na hilo tatizo msidili na matawi dilini na mizizi.

Kina Zuchu kila siku wanabinua makalio kucheza uchi na kuimba nyimbo za matusi lakini hatuoni hatua za maana zikifanyika kukomesha hiyo hali.

Kina Nandi kila siku wanacheza kwa kubinua makalio hatuoni cha maana kilifanyika.

Kina Yammi kutwa kuacha vitovu wazi lakini hatuoni cha maana wnachwa.

Kina Gigy money kila siku wanafanya mambo ya hovyo lakini hakuna cha maana wanachofanywa.

Kuna ngoma za hovyo sijui vibao kata watu wanacheza uchi uko na upuuzi mwingine unaachwa tu na serikali.

Wengine wanaachia mpaka video za ngono(connections) lakini ndio kwanza jamii inawaona role models na watoto wanajifunza kupitia wao.

Kwenye hili tuache unafki kuwaonea hao watoto.

Hawajavunja sheria yoyote.

Ni jamii yetu imeamua ku normalize mambo ya hovyo yaonekane ya maana.

Watu wa hovyo ndio wanaoonekana wa maana mpka bungeni na ikulu wanaitwa halafu mnakuja kubagaza watoto waliojifunza kwa wakubwa wakubwa wenyewe mnawaacha.

Tuache unafki.
 
Nakuuliza swali moja, Yupi bora kati anayemuua mwenzake(wanaume) kwa kugombania mwanamke ama watoto wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja/kinyume na maumbile(wasichana)?
Kwangu hakuna aliye bora.

Wote ni wapumbavu na wajinga wakubwa.

Hakuna sehemu yoyote nimeunga mkono watu kulawitiana au kuuana kisa mapenzi.
 
Mikoani watu tunatumia nguvu kubwa kushawishi au kutongoza unakuta mtu analima shamba au analimisha shamba la mtu ampendae,wengine huleta wapenzi wao mjini kuja kusoma,watu huuza mifugo then mtu anataka kujitoa kiwepesi au anataka kuoa pengine kiwepes
 
Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ?

Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata wanawake wao kiujumla.

Upande wa bara vijana wengi wanelelewa kigumu sana na mama zao au wanawake wao na hata mahusiano yao na jamii ya kike yanakuwa ya kigumu na ki kauzu sana. Vijana wa bara wanahitaji kulainishwa na kulainika. Wanahitaji kuwa na feminine energy zaidi.
tatizo ni malezi ,makuzi,ushamba na kutositaarabika
 
Wanaume na wanawake wote wanaoshanga mauaji ya wenza wengi wenu mpo single na hamna mali hasa nyumba,mashamba,usafir wala biashara mlizozipata 20yrs ago au hamjawai kuwekeza kwenye ndoa na family
 
Back
Top Bottom