Kuna ukweli gani mikoa imekabidhiwa mawaziri walezi ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna maneno kwamba mikoa imegaiwa mawaziri kuwa kama walezi wa hiyo mikoa ndio maana Bashite anatamba Mwanza kama Waziri mkuu au waziri wa wizara zote akikagua vivuko, hospital, n.k huku akitioa maagizo.

Kama ni kweli huu utakuwa ubunifu mpya wa CCM ambao haijawahi kutokea duniani 🤣
 
Kwamba wakuu wa mikoa hiyo wana kazi gani?
 
Aweso Tanga ,kuna muda naona mpaka kokbe la Aweso hapa Tanga mjini ila yeye ni mbunge wa pangani.

yqani juzi tu hapa alikuwepo mpaka nashangaa.
 
Kuna maneno kwamba mikoa imegaiwa mawaziri kuwa kama walezi wa hiyo mikoa ndio maana Bashite anatamba Mwanza kama Waziri mkuu au waziri wa wizara zote akikagua vivuko, hospital, n.k huku akitioa maagizo.

Kama ni kweli huu utakuwa ubunifu mpya wa CCM ambao haijawahi kutokea duniani 🤣
Anafoka foka foka hadi kwa mkuu wa mkoa mwanza na anamfokea WAZIRI KADOGOSA
 
Aweso Tanga ,kuna muda naona mpaka kokbe la Aweso hapa Tanga mjini ila yeye ni mbunge wa pangani.

yqani juzi tu hapa alikuwepo mpaka nashangaa.
Au ndio mfumo wa serikali za majimbo wa CCM ??
 
Back
Top Bottom