Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

Kraang

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2026
Posts
865
Reaction score
1,522
Taarifa kwa mujibu shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA limefanya utafiti kutambua mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 mpaka miaka 19
Na haya ndio matokeo kulingana na mikoa ya Tanzania
Na pia imetoa utafiti wa mikoa ilikuwa na viwango vya chini kabisa kwa mimba za wasichana wadogo
My take:
Hii mikoa ndio ile ile inayoongoza kwa umasikini Tanzania na pia ndio inayoongoza kwa maambukizi ya ukimwi.
Na kwa kuangalia kwa kwa demographics kwa kweli hawa jamaa zetu wa upande wa kushoto wanahitaji msaada
Na ni kawaida mtu mwenye matatizo huwa anaangalia mwenzake yuko katika hali gani ili ajifariji
Kulikoni hii mikoa ni ile ile kwenye umasikini, janga la ukwimwi na sasa janga la mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 ?

1793061423361.png

1793061518374.png

cc Kijakazi
 
Wenzako ni wajinga eti wako busy kujadili watoto wanaoruka ruka wakati ule ni mtoto ,yaani ni simple distraction mmeacha kujadili mambo ya maana kama El nino ,mko busy n a watoto wanaonesha mtoto.

Wale ni watoto tu ,tena waporokaji ..
 
sasa hizi ndio zinaitwa proper ganda, ( propaganda) mnatolewa kwenye reli bila kujua, ndio mjue ccm na serikali lao moja
 
Wenzako ni wajinga eti wako busy kujadili watoto wanaoruka ruka wakati ule ni mtoto ,yaani ni simple distraction mmeacha kujadili mambo ya maana kama El nino ,mko busy n a watoto wanaonesha mtoto.

Wale ni watoto tu ,tena waporokaji ..
Mwanao anatombwa huko shtuka utaletewa mimba huku kashifirwa mara kadhaa, unakuja kuleta huruma hapa
 
Mwanangu hawezi kutombwa kwa ujinga ,mwanangu nampa kibano sina ushoga wa demokrasia Wala haki za binadamu...Hawezi kusilikiza mziki labda ajifiche shule anayosoma hakuna uthenge huo ni msimamo mkali ..
Mwanao wahuni wanamtomba subiri siku afungiwe na muhuni mmoja bodaboda anaemgonga ndio utaelewa nilikua namaanisha nini, haya shtuka usingizini piga ua ila wahuni wanamtomba mwanao
 
Mwanao wahuni wanamtomba subiri siku afungiwe na muhuni mmoja bodaboda anaemgonga ndio utaelewa nilikua namaanisha nini, haya shtuka usingizini piga ua ila wahuni wanamtomba mwanao
Hakuna jinga huo , anasoma pale istiqaam hata kusalimiana na wanaume ni kosa , hawachangamani ...
 
Back
Top Bottom