Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

Taarifa kwa mujibu shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA limefanya utafiti kutambua mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 mpaka miaka 19
Na haya ndio matokeo kulingana na mikoa ya Tanzania
Na pia imetoa utafiti wa mikoa ilikuwa na viwango vya chini kabisa kwa mimba za wasichana wadogo
My take:
Hii mikoa ndio ile ile inayoongoza kwa umasikini Tanzania na pia ndio inayoongoza kwa maambukizi ya ukimwi.
Na kwa kuangalia kwa kwa demographics kwa kweli hawa jamaa zetu wa upande wa kushoto wanahitaji msaada
Na ni kawaida mtu mwenye matatizo huwa anaangalia mwenzake yuko katika hali gani ili ajifariji
Kulikoni hii mikoa ni ile ile kwenye umasikini, janga la ukwimwi na sasa janga la mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 ?

View attachment 3699365
View attachment 3699366
cc Kijakazi
Ina maana hawakufika Simiyu?
 
Ukimwi ni mwingi nyanda za juu kusini,kwa miaka 25 iliyopita
 
Vitoto vinapigwa miti vikiwa bado havijakomaa

Kuna wazee wakishavaa kovia na vile wanafuga ndevu, basi utawaambia nini. Halafu tunashangaa kwanini umaskini unatushughulikia.
Maana bila elimu, tunaeza kupambana na changamotoza mazingira yetu? Tunaweza kutoka nje ya ile circle ya umaskini?

Nendeni vijijini. Kuna mambo ya ajabu sana. Watoto wanaolewa wadogo sana, tena na wazee wanaojificha kwa kivuli cha dini inaruhusu.
 
Kwa watoto wa afrika Bado sana miaka 12hadi 16 wengi hawajitambui tu je tukifanya hivyo tutakuwa na taifa gani 🤣🤣🤣🤣🤣 au mpaka akafika 40+ atakuwaje
 
Maana bila elimu, tunaeza kupambana na changamotoza mazingira yetu? Tunaweza kutoka nje ya ile circle ya umaskini?
Hatuwezi kabisa na ndio maana Eddo alisisitiza Elimu Elimu Elimu

Kupitia Elimu Kuna matatizo yanaondoka bila hata kutumia nguvu kubwa
 
Kuna wazee wakishavaa kovia na vile wanafuga ndevu, basi utawaambia nini. Halafu tunashangaa kwanini umaskini unatushughulikia.
Maana bila elimu, tunaeza kupambana na changamotoza mazingira yetu? Tunaweza kutoka nje ya ile circle ya umaskini?

Nendeni vijijini. Kuna mambo ya ajabu sana. Watoto wanaolewa wadogo sana, tena na wazee wanaojificha kwa kivuli cha dini inaruhusu.
Usilete upuuzi kama jina lako
Hio mikoa mliojaa ndio inaogoza halafu unaandika ujinga kujifurahisha leta tafiti na ushahidi , haupo kijijini kwenu kwenye kilabu cha pombe chafu unalopoka lopoka tu
Umasikini ni nyinyi
Ukimwi ni nyinyi
Na sasa kuwapa mimba watoto ni nyinyi wagalatia
Au unapingana na tafiti huku huna ushahidi unachoaandika?
 
Kila siku tunasema wagalatia wengi kutokana na umasikini ni vilaza wengi sana
Ila aikishika bibilia eti na yeye anajiona msomi anatupia tuvifungu twa bibilia kama hadidu rejea ya ngano za kale
 
Mtwara na Lindi hazipo 🤔
Hii taarifa kama nna walakin nayo hv aseee
Au ndio ile program yao ya kuhamasisha uzazi wa mpango ilifanikiwa
Mtwara na lindi miaka 20 ijayo itakua na hali mbaya sana kwenye maduala ya uzazi
Watoto wwmeanza kulishwa madonge wakiwa wadogo tena mashuleni 😢😢😢
Nitajie watoto watano uliowaona wanalishwa hayo madonge huku mtwara
 
1793356605117.png
 
Back
Top Bottom