Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo.
Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki.
Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule inayojurikana kama followers ndani ya masaa tu huyu dada kakusanya karibu million 10 na miahala inaendelea kutumwa kumsaidia kodi Masaki wakati Buza kuna appartment nzuri sana za laki tano.
Sasa hapa ndio najiuliza Wabongo wenzangu, hivi huu umaskini wetu ni kweli sisi maskini au hatujaangalia vipaumbe vyetu viwe nini?
Ni kwa nini harambee hizi za ada matibabu na mitaji?
Hivi unamsaidia mtu kama Diva unategemea chochote kwa Mungu kwamba umetenda jema? Hapo mnajidanganya sana, binafsi.siwezi kumchangia mtu kama huyo tajili wa Instagram.
Nimesahau nilikuwa nataka kusema nini, haya thread hiyo tiyari.