sidhani kama kuna mtu amechanga anafanya maigizo ili auridhishe ubongo wake kuwa anapendwa na watu wanaweza kumchangia alipe kodi. au kuna mtu anataka kumuaminisha kuwa anapendwa sana moitandaoni ili ampige hela . mtanzania wa kuchangia kodi kwa mtu kama diva hayupo miaka hii ambayo kila mtu anajua kila kitu. huo ni mtego wake na hela anajua mwenyewe anavyojitumia ili kumseti mtu aingie mtegoni aliwe.
na hata kama wapo waliochanga . haifiki hicho kiasi.
na hata kama wapo waliochanga . haifiki hicho kiasi.