Kwanini maskini ndio huanguka mapepo makanisani na kwenye vituko vya Dua? Sababu ni hii 👇👇

Kwanini maskini ndio huanguka mapepo makanisani na kwenye vituko vya Dua? Sababu ni hii 👇👇

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Biblia inasema " watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".Hosea 4 : 6

Screenshot_20261014-091504.jpg

Nani anawaangamiza?
Ni adui/ shetani/ mapepo.
Biblia inasemaje kuhusu mali? Kwenye Mithali za Suleiman, Suleiman anasema hekima inaonyesha matokeo, yaani ukiwa na hekima/ akili utapata vitu kwa hiyo hekima.
Kwahiyo utajiri na mali ni ishara kuwa huyu mtu si mpumbavu
While umaskini ni ishara ya kuwa huyu mtu ni mpumbavu.
Na gate pass ya pepo wachafu kumwingia mtu ni upumbavu, ujinga.
Maskini ni mjinga that's why lango lake /fikra zake ziko wazi kwa Ibilisi kufanya movement kwenye mwili na nafsi yake kadri atakavyo.
 
Huwezi kumuhonga tajiri pesa ili aanguke,wanaoanguka ni maskini wanaolipwa pesa ya kula ili wafanye maigizo kanisani,njaa ni mbaya sana hakuna cha mapepo Wala nini.DINI ZOTE UKRISTO NA UISLAM NI UTAPELI
 
Si kweli kwamba masikini tu ndo huanguka!
Kuna neno maskini wengi na neno maskini tu.
Mimi nimetumia neno maskini wengi.
Umaskini ni results of lack of knowledge. Na lack of knowledge ndio njia kubwa ya mapepo kumwingia mtu.
 
Back
Top Bottom