Misemo ya Maskini Wasio na Pesa Kujifariji na Kuwasema wenye Pesa( Matajiri)

Misemo ya Maskini Wasio na Pesa Kujifariji na Kuwasema wenye Pesa( Matajiri)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
1.Anaringa ana hela ,hela ndio zitamzika?

2.Utakufa utaziacha

3.Kama huna Yesu ni Kazi Bure

My Take
Tutafute pesa Ili kuondoa umaskini kwenye jamii,hiki ndio chanzo Cha mihogo zmajungu na mauaji.

Ongeza mingine
 
Haya mambo ya kusema tutafute pesa ndio yanapelekea wanaume wengi kuwa mashoga na wanawake kuwa wadangaji wengi wengi ilimradi tuu apate pesa. Hata wimbi la watu wenye pesa za ushirikina na ufisadi chanzo chake ni hiko.

Nafikiri tutumie msemo tufanyeni kazi kwa bidii ili tujikwamue kimaisha, hii itapelekea vijana kujengwa kifikta kwamba maisha Bora yanapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa
 
Kukosa pesa kunadhalilisha mno
Kamwe usismsimnge alie nazo maana hata wewe unatamani ingekuwa nazo.

Tabia za hivyo ni kama kujifariji
 
Mbona hata tajiri la matajiri alishasema hivi.. Chini ya jua ni ubatili mtu 🫠🫠
 
Back
Top Bottom