CCM hawana Mifumo ya kulinda Viongozi wao wa Juu. Je, Samia Suluhu na Mwigulu wanalindwa kweli?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
FB_IMG_1791896646031.jpg

Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame? Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
FB_IMG_1791896738655.jpg

Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.

Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.

Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
FB_IMG_1791896854253.jpg

Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.

Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.

Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
FB_IMG_1791896900971.jpg

Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.

Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.

Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.

Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.

Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?

Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
FB_IMG_1791896964918.jpg

Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.

Kudadeki
 
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
Moja ya mada za kipuuzi toka kwa mtu ambaye ungedhani anafikra pevu za kutosha.

Walindwe hao watu kwa sababu zipi; wewe hujui kiasi wanavyopendwa na wananchi waliowachagua?

Watu wa aina hii ndio wanaotakiwa watekwe, kwa sababu inaonyesha ndio wanaofanya mipango ya kuwavizia viongozi wanaopendwa sana na watu wao.

Hii JF sijui imekuwaje siku hizi?
 
wewe hujui kiasi wanavyopendwa na wananchi waliowachagua?
Hahahaaa... Umeongea kibabe mtu anaweza hisi unajua kitu. Hao unaosema wamechaguliwa, nambie kura alizopata Samia Suluhu jimbo moja tu. Jichagulie jimbo useme kapata kura ngapi. Hapo ndo tutajua amechaguliwa na anapendwa.

Mfano sema Jimbo la kigamboni kapata kura 4 nk. Otherwise njaa yako imehamia kichwani unabwabwaja tu.
 
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920

kama bishop gwajima ana ulinzi mkali sana,
nani alifanikiwa kupata nafasi ya kurekodi video ya kumbumkumbu wakati bishop gwajima anamtafuna kondoo wake namna ile? nadhani sote ni mashahidi na tulishuhudia gwajima akimtafuna kondoo wake. Je, kuna ulinzi mkali pale?

ilikuaje haswa? walinzi walisinzia shetani akafanya kazi yake ama ni nini ilitokea gentleman? :NoGodNo:
 
Moja ya mada za kipuuzi toka kwa mtu ambaye ungedhani anafikra pevu za kutosha.

Walindwe hao watu kwa sababu zipi; wewe hujui kiasi wanavyopendwa na wananchi waliowachagua?

Watu wa aina hii ndio wanaotakiwa watekwe, kwa sababu inaonyesha ndio wanaofanya mipango ya kuwavizia viongozi wanaopendwa sana na watu wao.

Hii JF sijui imekuwaje siku hizi?
Kwa ushindi ule wa %86 😄 😄 😄
 
Hahahaaa... Umeongea kibabe mtu anaweza hisi unajua kitu. Hao unaosema wamechaguliwa, nambie kura alizopata Samia Suluhu jimbo moja tu. Jichagulie jimbo useme kapata kura ngapi. Hapo ndo tutajua amechaguliwa na anapendwa.

Mfano sema Jimbo la kigamboni kapata kura 4 nk. Otherwise njaa yako imehamia kichwani unabwabwaja tu.
Duh!
Hii inaweza kuwa ni mara ya pili kwa wewe kunishangaza sana.
Mara zote huwa nakuona kuwa ni mtu makini zaidi ya hizi mara mbili ulizonishangaza!

Kwani hao watu unaotaka "walindwe" kwa uhakika, hujui walipata kura ngapi walizopewa na wananchi wao?
Watu wanaopendwa kiasi hicho, wewe umetoa wapi uthubutu wa kuhoji udhaifu uliopo katika kuwalinda wasidhurike na watu ambao wanawapenda sana.

Hii mada umeileta hapa hasa ili tujadili nini; wewe umekuwa na dukuduku la kuhoji ulinzi wao kwa vile umeona uliopo hautoshi?
Kwanza unataka ulinzi wa nini kwa watu wanaopendwa zaidi na wananchi waliowapa kura karibu asili mia zote.

Hii hofu yako juu ya usalama wao inatoka wapi, kama siyo mmoja wa watu wasiowatakia mema hawa viongozi wapendwa?
 
kama bishop gwajima ana ulinzi mkali sana,
nani alifanikiwa kupata nafasi ya kurekodi video ya kumbumkumbu wakati bishop gwajima anamtafuna kondoo wake namna ile? nadhani sote ni mashahidi na tulishuhudia gwajima akimtafuna kondoo wake. Je, kuna ulinzi mkali pale?

ilikuaje haswa? walinzi walisinzia shetani akafanya kazi yake ama ni nini ilitokea gentleman? :NoGodNo:
Ile ya Madelu kumbe ni ya kweli?
 
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame? Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
View attachment 3689923
Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.

Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.

Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
View attachment 3689927
Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.

Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.

Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
View attachment 3689926
Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.

Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.

Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.

Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.

Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?

Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
View attachment 3689928
Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.

Kudadeki

Hizi kama ni ramli, basi ramli chonganishi..ila nimependa uliposema ukweli...wanajazana walinzi kibao na mbwembwe za kutosha...kumbe ni per diem tu 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mkuu hizo damu kwenye hilo gari mhanga alikua ni li-ccm gani?
 
Kwa ushindi ule wa %86 😄 😄 😄
Hapana, ni zaidi ya hiyo 86; kumbukumbu zangu zinaniambia ni takribani 98; tena toka kwa waTanzania zaidi ya milioni 31 walioshiriki kwenye uchaguzi ule.

Watu wa namna hii wanalindwa na hao hao watu waliowachagua wenyewe. Hawana hofu sana na maadui hao wachache, kama huyu mleta mada anayehoji uimara wa ulinzi uliopo.
 
Mungu mpende zaidi huyu mja wako, mpumzishe kwa amani
 
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame? Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
View attachment 3689923
Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.

Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.

Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
View attachment 3689927
Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.

Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.

Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
View attachment 3689926
Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.

Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.

Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.

Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.

Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?

Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
View attachment 3689928
Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.

Kudadeki
We pumbavu wahi Miremebe ukatibiwe
 
Huu mtandao umevamiwa na mazombie, matahira, wehu, mazuzu. Wanajitekenya wanacheka wenyewe. Yaani ni vioja hakuna hoja, ni watu wenye akili finyu.
 
JF nyumbu wa chadema wameufanya mtandao wao, umekuwa mtandao wa hovyo, wa watu wenye udumavu wa akili. Vyama 19 vilishiriki uchaguzi, kisa wapumbavu walikimbia uchaguzi wakitegemea wangeingia madarakani kwa njia ya uasi kila wakati nani kawachagua. Mambwa nyie kiongozi wenu mliomchagua ni yulo lofa wenu aliye gerezani.
 
Ile ya Madelu kumbe ni ya kweli?
yaani kiongozi wa kiroho anamtafuna kondoo wake waziwazi bila ulinzi halafu mtoa porojo anakuja kupotosha wadau wa JF kwamba bishop ana ulinzi mkali, hii si sawa na haikubaliki gentleman, plz? :NoGodNo:
 
Hata wale tunaodhaniaga ni ma jiniaz wa humu jukwaani naona wameshindwa kuelewa code za mtoa Mada.
 
Back
Top Bottom