Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame?
Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
View attachment 3689923
Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.
Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.
Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
View attachment 3689927
Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.
Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.
Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
View attachment 3689926
Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.
Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.
Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.
Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.
Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?
Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
View attachment 3689928
Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.
Kudadeki