A
Anonymous
Guest
Huku kwetu pesa za kujikimu watu wana miaka 11 hawajalipwa. Majibu ni watalipa watakapokuwa tayari. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza.
Ni majibu ya Afisa Utumishi, na hata leo tu limetoka jibu la kutuvunja kabisa moyo, kuwa watalipwa ajira mpya kuanzia sasa, hamna fungu kwa ajili ya sisi wa nyuma.
Wadai ni watendaji wa vijiji na kata. Kwa kweli, kwenye issue ya stahiki zetu tunaonewa mno.
Tukafanya mapping ya maeneo, tukapewa attendance na ilibidi tulipwe 60,000 per day. Kazi ilikuwa ya wiki moja, ila ilifanyika siku moja, nayo tuliambiwa tusiweke tarehe.
Muda wa malipo wakalipwa maafisa ugani tu, 120,000 each, ila watendaji hatujalipwa. Baada ya kulalamika tukambiwa moving forward tutakuwa tunalipwa.
So hatujapewa training, ila inabidi tusimamie mradi na bado wamelipwa watu tunaowasimamia kutekeleza mradi.
Kwenye pesa ya kujikimu ni bachi tofauti tofauti from 2017 mpaka 2026. Hapo kati kuna waliolipwa nusu, kuna ambao hatujapata kabisa, mimi bachi ya 2024.

- Posho za madaraka (tunadai miezi mitatu),
- 5% ya ukusanyaji wa mapato over 6 months sasa,
- Malipo ya mafunzo ya NAPA tumechinjiwa baharini,
- Malipo ya mradi wa SCALE watendaji tumebwagwa, Sisi ni wa kutekeleza maelekezo tu, posho wanalipana wenyewe.
- Posho ya madaraka Juni mpaka Septemba 2026.