Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe..

Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana.

Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote watafwata.

Unaweza kutokea trending stori moja, then atokee mtu mwenye stori kuhusu hicho kitimbwi.. Watu watafwata kile kinasemwa sana, ila sio ukweli kuhusu.

Nilicho ukiona ni kuwa wabongo wengi, now hata kujisimamia ila hakuna
 
This is well known everywhere around the globe, sorry you are slave type
 
Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe..

Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana.

Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote watafwata.

Unaweza kutokea trending stori moja, then atokee mtu mwenye stori kuhusu hicho kitimbwi.. Watu watafwata kile kinasemwa sana, ila sio ukweli kuhusu.

Nilicho ukiona ni kuwa wabongo wengi, now hata kujisimamia ila hakuna
Kama wewe mwenye ID’s nyingi.
 
Kumbe wamatumbi ndio watz !?hili jina limetoka wapi
Kuna members humu wanaojifanya wao wana akili, wana pesa na wanajitambua sana ndo wanatuita watanzania tuliobakia kwamba sisi ni wamatumbi na hatuna maisha.

Ni ujinga tu na sifa zao za kujiona wanayajua sana maisha
 
Sio sifa, hakuna anaye furaha kuona jamii iliyo oza
 
Kuna members humu wanaojifanya wao wana akili, wana pesa na wanajitambua sana ndo wanatuita watanzania tuliobakia kwamba sisi ni wamatumbi na hatuna maisha.

Ni ujinga tu na sifa zao za kujiona wanayajua sana maisha
Kwani uongo?

Kwani sisi sio masikini?

Sisi ni wamatumbi😂?

Ila usijishushe thamani sana mkuu.Mtoa post yupo na matatizo ya kisaikolojia,mpe moyo atapona na maisha mengine yataendelea.

Utajori au kipato cha mtu ni siri yake,kikubwa afya njema.Usisahau dharau ni sehemu ya maisha.
 
Back
Top Bottom