Wanateka, wanaua, wanachangia ujenzi wa kanisa, misa viti vya mbele,changia yatima, changia Simba na Yanga, kesho wanateka tena, wanaua tena

Duh Aisee

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
1,297
Reaction score
860
Teka, ua, hubiri amani
Teka, ua, changia ujenzi wa kanisa
Teka, ua, jichomeke kwenye mipira
Teka, ua, changia yatima
Teka, ua, hakikisha media hazireport, teka, ua tena

Jiteteeni mababu zenu hawakuipigania hii ardhi ili leo hatma ya uhai wenu uamuliwe na watu kadhaa
 
Wakina nani hao
 
Back
Top Bottom