Ukiondoa Azam fc, Yanga, Simba na Singida zinabebwa na ufisadi/mafisadi

Lakini upande huo umewapa ajira watu wengi sana.

Kuanzia vibanda umiza mpaka wachezaji.

Mimi nimenufaika na Yanga kwa kuanzisha kikundi Cha mashabiki wa Yanga alafu tukaamua kiwe kikundi Cha maendeleo saizi kinaenda fresh. Bila Yanga na Simba nisingekua na hiking kikundi watu walivyo wavivu kuanzisha vikundi vya maendeleo.

Hizi timu zilindwe kwa wivu wote zinasaidia kuwaunganisha watanzania
 
Wewe mjinga nani alokwambia utype ujinga hapa?
 
Lakini upande huo umewapa ajira watu wengi sana.

Kuanzia vibanda umiza mpaka wachezaji.

Mimi nimenufaika na Yanga kwa kuanzisha kikundi Cha mashabiki wa Yanga alafu tukaamua kiwe kikundi Cha maendeleo saizi kinaenda fresh. Bila Yanga na Simba nisingekua na hiking kikundi watu walivyo wavivu kuanzisha vikundi vya maendeleo.

Hizi timu zilindwe kwa wivu wote zinasaidia kuwaunganisha watanzania
Kama hizo pesa zina makandokando tegemea anguko tu siku moja. Ndivyo ilivyo.
 
Lakini upande huo umewapa ajira watu wengi sana.

Kuanzia vibanda umiza mpaka wachezaji.

Mimi nimenufaika na Yanga kwa kuanzisha kikundi Cha mashabiki wa Yanga alafu tukaamua kiwe kikundi Cha maendeleo saizi kinaenda fresh. Bila Yanga na Simba nisingekua na hiking kikundi watu walivyo wavivu kuanzisha vikundi vya maendeleo.

Hizi timu zilindwe kwa wivu wote zinasaidia kuwaunganisha watanzania

Kwa hiyo mkuu umejimilikisha saccoss
 
Siku nchi ikirudi mikononi mwa wananchi, mpira wa Tanzania ambao umekua haraka kama uyoga, hakika utaporomoka. Wenye akili kubwa tu ndio watanielewa
Mlokole mavi unaumia ukiwa wapi
Akili zako za mavi zinajulikana zimelenga wapi,
Kwanini usijikusanye na walokole mavi wenzako mkaifufue lipuli fc ?
 
Sihitaji kukuuliza imani yako kwani umeisha inanika hadharani
 
Back
Top Bottom